Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

STAMIGOLD Company Limited

Privacy Policy

Published on October 26, 2024

Article cover image

Kampuni ya STAMIGOLD inachukulia faragha ya wadau na wananchi wanaotembelea tovuti yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotembelea au kuwasiliana na tovuti yetu.