Home

 Tangazo - Uteuzi Mpya

Uteuzi wa Bodi mpya ya Wakurugenzi wa kampuni ya Stamigold Biharamulo...Soma Zaidi

                                                               

Site Application Forms

 

 

 "Gold medals aren't really made of gold. They're made of sweat, determination, and hardworking"
  • KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI STAMICO AFANYA ZIARA STAMIGOLD

     

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi Hamis Komba, hivi karibuni alifanya ziara ya kikazi katika Mgodi wa dhahabu wa STAMIGOLD uliopo wilayani Biharamulo Mkoani Kagera ikiwa ni mara yake ya kwanza kuutembelea Mgodi huo tangu alipoteuliwa kukaimu wadhifa huo.

    Ziara katika Mgodi huo unaomilikiwa na Serikali kupitia STAMICO, ilikuwa na malengo ya kujionea namna wafanyakazi wa STAMIGOLD wanavyofanya shughuli zao...Soma zaidi

Healthy and Safety

We trust nothing is more important to SBM than safety, health and well-being of each employee. Read more...

Healthy and Safety

We trust nothing is more important to SBM than safety, health and well-being of each employee...
Read More...

Corporate Info

STAMIGOLD Company Limited was incorporated on 28th October, 2013. The Company is a subsidiary. Read more...

Corporate Info

STAMIGOLD Company Limited was incorporated on 28th October, 2013. The Company is a subsidiary...
Read More...

WACHIMBAJI WADOGO NEMBA WAASWA KUWA WAWAZI

Kikundi cha wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu Nemba Group kutoka kijiji cha Nemba  wilaya ya Biharamulo wameaswa kufanya shughuli zao kwa uwazi na ukweli huku wakizingatia sheria ili kuwa na uchimbaji madini wenye tija kwao na taifa.

Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na aliyekuwa akikaimu nafasi ya Meneja Mkuu wa mgodi wa Biharamulo, Korodias Shoo wakati wa kikao baina yake na kikundi hicho kilichofika hapa mgodini... Soma zaidi

 

 

Capacity


STAMIGOLD Company Limited is a growing gold company having estimated resource of more than 200,000 troy ounces. 

Read More...

Core Strategies

To continuously improve health, safety and environmental practices in and around the mining tenements in order to protect our people, the environment..

Read More...

Environment


At SBM, we firmly believe that wise environmental stewardship is based on careful work planning, thoughtful implementation...

Read More...